Back to News

KONGAMANO LA KUWAUNGANISHA WAJASIRIAMALI NA MASOKO TZ1

18 Dec 2025
KONGAMANO LA KUWAUNGANISHA WAJASIRIAMALI NA MASOKO TZ1

Tanzania Women Chamber of Commerce (TWCC1) inayo furaha kuwakaribisha kushiriki katika Kongamano la Upatikanaji Masoko, Mitaji na Taarifa za Kibiashara litakalofanyika kuanzia tarehe 23 hadi 25 Septemba 2025 katika Ukumbi wa Mbezi Garden Hotel, Dar es Salaam. 

Kongamano hili limeandaliwa kwa lengo la kuwawezesha wajasiriamali na wanachama kupata maarifa, fursa, na kuunganishwa na wanunuzi wa bidhaa. 

Ratiba ya Kongamano: 

Siku ya Kwanza: 23 Septemba 2025 
✅Elimu ya uendeshaji biashara 
✅Kliniki ya Urasimishaji (Elimu ya kodi, usajili wa biashara, leseni,  TIN n.k) 

Siku ya Pili: 24 Septemba 2025 
✅Elimu ya fedha 
✅Fursa za Mitaji na Uwekezaji 

Siku ya Tatu: 25 Septemba 2025 
✅Fursa za Masoko na mbinu
✅ Business matchmaking-kukutana na wateja/wanunuzi ana kwa ana (B2B)

Gharama za ushiriki ni 

Wanachama Tzs. 20,000/=
Wasio Wanachama Tzs. 30,000/=

💳 Malipo kupitia: 
CRDB Bank: 01J1029021100 
Au Mpesa: 0757 823 982 
Jina: Tanzania Women Chamber of Commerce 

🔔 Lipia mapema kujihakikishia nafasi yako!  Nafasi zilizobaki ni 100 tu kati ya 250. 

Kwa mawasiliano zaidi: *0775823882 au 0757823982

Karibu ujifunze, uunganishwe na ujiimarishe katika safari yako ya kibiashara!

https://isoko-admin-portal.vercel.app/isoko/association/associations/1